Tanzania Association Of Wichita -TaWichita

TaWichita Blog

Items filtered by date: April 2018 - Tanzania Association Of Wichita -TaWichita
30 April 2018 In TaWichita

Kwa masikitiko makubwa tunawatangazia kwamba Mzee Franklin B. Mkony, baba mzazi wa Kaka Jerry Mkony wa Orange Park, FL, ametwaliwa na Bwana Jumapili April 29, 2018 akiwa DSM. Mipango ya mazishi imeanza nyumbani kwa marehemu, Selender Bridge, DSM, TZ na kwa Jerry pale Jacksonville.

Mazishi yatafanyikia Moshi Marangu - Rauya, Kilimanjaro

Kwa hapa Florida, msiba upo

3570 Silver Bluff Blvd
#205
Orange Park, FL 32065

Taarifa zaidi zitafuata.

Unaweza kusaidia familia hii ktk rambirambi kwa njia zifuatazo:

Cash app: $KakaJerry

Kwa taarifa zaidi:

Nissen : 316-680-5354
Lovelucky: 316-680-2841
Jerry Mkony: 405-694-0631

BWANA Ametoa , BWANA Ametwaa, jina lake lihimidiwe

Contact us

The name of this organization is Tanzanian Association of Wichita, or simply TAWICHITA. 

  • Hot line: +

Connect with us

We're on Social Networks. Follow us & get in touch.
 Facebook twitter google-plus
You are here: Home Items filtered by date: April 2018