SALAM ZA CHRISTMAS NA MWAKA MPYA

21 February 2014

TaWichita inapenda kuwatumia salam za Christmas na mwaka mpya kwa wanajumuiya wote. Tunamshukuru mwenyezi mungu kwa kutuwezesha kufika hapa tulipo, kusherehekea siku ya kuzaliwa yesu kristo na mwaka mpya. Kwa wanaosafiri tunawatakia safari njema na hii hali ya hewa wafike salama, wengine wote tunawatakia heri na baraka njema katika kipindi hiki cha sikukuu.

Read 2164 times

Leave a comment

Make sure you enter all the required information, indicated by an asterisk (*). HTML code is not allowed.