Items filtered by date: Thursday, 27 February 2014 - Tanzania Association Of Wichita -TaWichita
27 February 2014 In Blog

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchembba akimnadi mgombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa, katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini.

 Mgombea Ubunge kwa tiketi ya CCM katika uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga Godfrey Mgimwa, akizungumza na kuomba kura kwa wakazi wa mji Ifunda mapema leo jioni katika mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini.

 Baadhi ya wananchi na wanachama wa CCM wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga,Iringa .

 Baadhi ya Wanahabari wakiwa kwenye mkutano wa uzinduzi wa kampeni za uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga,Iringa .

 Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara Mwigulu Nchemba akizungumza na wakazi wa kijiji cha Ifunda mapema leo,wakati wa mkutano uzinduzi wa kampeni za CCM uliofanyika leo, kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini.

 Mkutano wa uzinduzi wa kampeni za CCM  ukiendeleo mapema leo jioni,kwenye Uwanja wa Chuo Cha Ifunda, Iringa Vijijini.PICHA NA MICHUZIJR-IRINGA.

TaWichita Login

Calendar

« February 2014 »
Mon Tue Wed Thu Fri Sat Sun
          1 2
3 4 5 6 7 8 9
10 11 12 13 14 15 16
17 18 19 20 21 22 23
24 25 26 27 28